Album: Maneno

Nionyeshe njia
Usiniache nalia
Wee mama wewe
Wee dada wewe

Nionyeshe njia
Usiniache nalia
Ukiniacha ntaishi vipi!
Wee dada wewe x2

Nionyeshe njia
Usiniache nalia
Tegemeo langu ni wewe
Wee dada wewe
Aah wewe dada wewe

Aah aah ooh

Kama kupenda nimependa
Natena nimekuzoea
Ukiniacha ntaishi vipi!
Wee dada wewe x2

Kama kupenda nimependa
Natena nimekuzoea
Tafadhali nionee huruma
Oooh oooh oooh oooh

Nionyeshe njia
Usiniache nalia
Wee dada wewe
Aah wewe mama wewe
Oooh oooh oooh oooh

Comments